Usiku huo hakuweza kupata usingizi kisa mumewe

 Katika jiji mahiri la Nairobi nchini Kenya ambapo visa vingi vya mapenzi huripotiwa kila mara, Jemah alijipata akiwa njia panda mara baada ya kuwa na ndoa yenye furaha kwa miaka mingi ila ghafla mambo yakabadilika.

Ulimwengu wake wa mapenzi uliyumba pindi mume wake, Amoni alipoondoka nyumbani na kumuacha akiwa amevunjika moyo na kukata tamaa bila kujua nini cha kufanya kwa wakati huo.

Hata hivyo, Jemah ni mwanamke shupavu na mwenye moyo uliojaa upendo, alikuwa amejenga maisha yake kwa upendo mkubwa ndani ya ndoa yake ingawa ilikumbana na changamoto kubwa.

Inaelezwa kuwa hapo awali, matatizo...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post