Nilihesabiwa miongoni mwa maiti. Majina yangu yalitajwa msibani, picha yangu ikawekwa kwenye tangazo la rambirambi, na hata kaburi likachimbwa tayari kwa maziko. Ajali mbaya ya basi barabara ya Mwanza kuelekea Musoma ilibeba jina langu miongoni mwa waliopoteza maisha.
Hakuna aliyeupata mwili wangu, lakini jina langu lilikuwepo kwenye orodha ya abiria, na ikahesabika kuwa nilishafariki. Kijijini kwetu kule Butiama, msiba ulitanda kama wingu jeusi. Mama yangu alipata presha, dada zangu walilia hadi sauti zikatoweka, na mchumba wangu alianguka na kupoteza fahamu.
Waliamua kumzika jeneza lililojazwa mavazi yangu kwa heshima, huku wakiomba...SOMA ZAIDI
Post a Comment