Kijana mmoja aitwaye Musa alianza kunywa pombe mapema mwaka 2014 akiwa katika shule ya upili, hii ni kutokana na shinikizo la rika lake, hivyo akajikuta kila wikiendi anakunywa pombe kwa siri katika baa za mtaani kwao.

Baada ya miaka nane pombe ikawa imekolea kwenye damu yake, kichwa chake na moyo wake, huku mkewe Salome akizoea kula Sukumawiki wiki nzima maana mumewe fedha zote anazimalizia kwenye pombe.
Mtoto wake mwenye umri wa miaka mitano bado hajaanza shuleni kwa sababu ya kukosa fedha, mkewe anachoweza....SOMA ZAIDI
Post a Comment