Nilikuwa Sisikii Chochote kwa Miaka Mitatu, Leo Ninasikia Sauti ya Mtoto Wangu kwa Mara ya Kwanza

Nilizoea ukimya kama vile ni hali ya kawaida. Sikuamini tena kuwa kuna siku ningesikia sauti ya upepo, ndege, wala hata mtu kuniita kwa jina. Kipindi hicho, mtoto wangu alikuwa mdogo akijifunza kutamka maneno ya kwanza lakini sauti yake haikuwahi kufika masikioni mwangu.

Niliishi kwa ishara na maandishi, na nikajifunza kusoma mdomo wa watu kujaribu kuelewa wanachosema. Kwa miaka mitatu, maisha yangu yalifungwa katika giza la ukimya.

Kila hospitali kubwa jijini na hata nchini nilifika. Nilichunguzwa masikio, ubongo, na mishipa ya fahamu. Madaktari waliniambia tatizo langu ni “sensorineural hearing loss” aina ya kupoteza kusikia isiyotibika.

Nilishauriwa nitumie vifaa vya kusaidia kusikia, lakini nilikuwa nimepoteza uwezo mkubwa kiasi kwamba hata hivyo vifaa havikunisaidia. Nilivunjika moyo kabisa. Wazazi wangu walijitahidi kunifariji.

Mume wangu alianza kufifisha matumaini...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post