Ilikuwa ni siku ya Alhamisi saa kumi
alfajiri nilipopigwa na butwaa baada ya kuamka na kukuta mlango wangu wa
mbele ukiwa wazi. Nilipochungulia nje, nikagundua kuwa baadhi ya vitu
muhimu kwenye nyumba yangu vilikuwa vimeibiwa. Runinga yangu ya inchi
55, kompyuta ya kazi, simu mbili mpya na kiasi kikubwa cha pesa kilikuwa
kimepotea. Jasho lilinitoka. Nilijua hapa kazi ilikuwa moja kuripoti
polisi.
Nilienda kituo cha polisi kilichokuwa karibu na kutoa taarifa kamili. Walikuja kufanya uchunguzi lakini waliniambia....SOMA ZAIDI
Post a Comment