Nilikuwa na miaka miwili tu wakati baba
yangu alipotoweka. Mama yangu alisema alitoka asubuhi kwenda kazini na
hakurudi tena. Ilikuwa vigumu kwangu kuelewa kilichotokea kwa kuwa
nilikuwa mdogo sana, lakini kadri nilivyokua, maswali yalianza
kujitokeza.
Niliishi maisha ya utotoni nikimuona mama yangu akihangaika kutulea, lakini kila nilipomuuliza kuhusu baba, alinikwepa au kulia kimya kimya.
Wakati nilifikisha umri wa miaka 10, nilianza kuhisi pengo kubwa la kutokuwa na baba. Niliona wenzangu wakienda shuleni wakiandamana na baba....SOMA ZAIDI
Post a Comment