Mchepuko wa mume wangu ananifokea kwenye simu bila aibu!

Naitwa Asma, nimekuja kugunudua kadiri miaka inavyozidi kusonga ndivyo ambavyo jambo la wanaume kuzisaliti ndoa zao linazidi kuonekana jambo la kawaida, wanawake wanaotembea na wanaume za watu wamekuwa hadi wanafikia hatua ya kujisifu kwa kuwakamata wanaume za wazao.

Hawa wanajiita nyumba ndogo na kwa sasa kuna wimbo maarufu unaokwenda kwa jina la hilo ambao wamekuwa wakitamba nao, wanaume wenyewe wanasema nyumba kubwa hainogi bila kuwa na nyumba ndogo.

Huu ni mchezo hatari sana kwani sasa dunia imechafuka na magonjwa....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post