Njia wanayotumia wengi kufaulu mitihadi yao hadi ya chuo

Nakumbuka kipindi nasoma shule ya msingi sikuwa mwanafunzi mwenye akili darasani, kila mara nilikuwa mtu wa mwisho kiasi kwamba hadi wanafunzi wenzangu walikuwa wananicheka na kunikejeli.

Walimu mwenyewe walikuwa wanatambua sikuwa na uwezo mzuri wa kimasomo na hadi naweza kusema walishakata tamaa na mimi na kuamini sitoweza kuja kubadilika.

Hata nilipofeli shule ya...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post