Siku niliyoamua kuacha kazi mjini na kurudi kijijini kuanzisha biashara ya mbao, wengi walidhani nimechanganyikiwa. Marafiki waliniona kama mtu aliyekata tamaa, familia ilinung’unika kwa sauti ya chini, na hata mke wangu alinitazama kwa mashaka.
Lakini moyoni nilijua nilikuwa nafanya uamuzi sahihi nilitaka kuwa huru kiuchumi. Nilikuwa nimeajiriwa kwenye kampuni ya usafirishaji kwa miaka saba. Kila mwezi nilikuwa napokea mshahara wa kawaida, lakini maisha hayakubadilika.
Kodi, nauli, na mahitaji ya familia vilikuwa vinameza kila kitu. Nilianza kufikiria njia nyingine ya kujikomboa, na ndipo wazo la kuuza mbao lilinijia baada ya kutembelea kijiji chetu na kuona jinsi watu walivyokuwa wanahangaika...SOMA ZAIDI
Post a Comment