Saa nane usiku, nikiwa nimeketi ukingoni mwa kitanda, nilijikuta nikimwangalia mume wangu kwa mshangao mkubwa. Alikuwa amelala fofofo, lakini ghafla akatamka jina la mwanamke mwingine kwa sauti ya mahaba, kana kwamba yuko naye.
“Susan… usiache… nakupenda, Susan…” Alisema huku akitabasamu kwa usingizi. Mimi ni Rehema, mke halali, lakini usiku huo nilihisi kama mgeni ndani ya ndoa yangu mwenyewe.
Nilikaa kimya, moyo wangu ukijaa huzuni na maswali. Nani tena huyu Susan? Je, ni mpenzi wake wa zamani au ni mwanamke wa sasa anayemuongelea usiku? Niliumia sana.
Sikutaka kuamsha fujo lakini niliamua kuchunguza kwanza kabla sijafanya maamuzi yoyote makubwa. Asubuhi ilipofika, nilimwandalia chai, nikamwangalia kwa macho...SOMA ZAIDI
Post a Comment