Wahalifu wataka Ksh1.7 milioni ili kumrudisha mtoto

 Mama Sama kama ambavyo watu wengi humuita alishindwa kuzuia machozi yake kumtoka baada ya kubainika kuwa mwanawe Alen Kimani, hayupo, yaani ametoweka katika mazingira ya kutatanisha.

Alitoa taarifa polisi na kuweka msako wa masaa manne ambao haukuzaa matunda, karibia saa mbili usiku alipokea habari mbaya zaidi ikisema kuwa mwanawe alikuwa ametekwa nyara na wahalifu ambao walitaka Ksh1.7 milioni ili wamekuachia huru akiwa hai.

Moyo wake ulishtuka alipogundua kuwa hakuwa na pesa hizoo, mama huyo alikuwa akiishi peke yake huko Thogoto baada ya mumewe kurafiki kwa kulipuliwa ndani ya gari na wanamgambo wa Al-shabbaab huko Mandera...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post