Nilikuwa nimechoka, si kimwili tu bali kiroho. Kila jambo nililojaribu halikufanikiwa. Biashara yangu ilianza kuporomoka ghafla, afya yangu ikayumba bila sababu ya kitabibu, na uhusiano wangu na watu wa karibu ukaanza kusambaratika.
Ilifika wakati nilianza kuamini kuwa labda ni bahati mbaya tu lakini bahati mbaya haiji kila siku bila kupumua.
Ilikuwa rafiki yangu wa karibu aliyenishika mkono na kuniambia ukweli. “Dada, hii si kawaida.
Kuna mtu anakutakia mabaya,” alinieleza kwa sauti ya kujiamini. Kwa mara ya kwanza nilivuta pumzi ndefu na kuamua kutafuta msaada wa kiroho. Nilihitaji kujua kama kweli nimefungwa kwa nguvu za giza au kama nilikuwa nikikimbia kivuli changu mwenyewe.
Nilimtembelea mtaalamu mmoja wa tiba asilia mkoani...SOMA ZAIDI
Post a Comment