Walinicheka Niliposema Nitawania Ubunge, Leo Wananipigia Magoti

 Wakati nilisimama mbele ya wanakijiji nikitangaza nia yangu ya kuwania ubunge wa eneo letu, nilidhani ningepokelewa kwa heshima na moyo wa matumaini.


Nilikuwa nimefanya kazi za maendeleo kijijini kwa miaka mitano, nikiwa mstari wa mbele katika miradi ya vijana, wanawake, na usafi wa mazingira.

Lakini sikuamini masikio yangu walipoanza kucheka. Wengine walinicheka hadharani, wengine walinikashifu kwa kejeli mitandaoni, wakisema, “Yule? Hawezi hata kushinda udiwani!” Maneno yao yalichoma moyo wangu kama moto wa moto.

Sikuwa na chama kikubwa nyuma yangu. Sikuwa...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post