Tutasafiri Tanga na msafara wa mabasi 50 - Kamwe

 

Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga amewaalika mashabiki na wanachama wa Yanga katika msafara wa pamoja kuelekea mkoani Tanga kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la CRDB dhidi ya JKT Tanzania utakaopigwa Jumapili, May 18 dimba la Mkwakwani

Kamwe amesema wanahitaji kuwa na angalau mabasi 50 katika msafara wa pamoja utakaoondoka siku ya Jumamosi, kuelekea Tanga safari ikitarajiwa kuanzia Makao Makuu ya Yanga, Jangwani

"Mpaka sasa tayari tuna mabasi 30 yatakayobeba mashabiki na wanachama wetu kuelekea Tanga kuiunga mkono timu yetu kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la CRDB dhidi ya JKT Tanzania"

"Tunahitaji angalau mabasi 50, hivyo niwaombe mashabiki na wanachama ambao mngependa kujumuika nasi kwe safari tuwasiliane. Kama una Noah, gari binafsi kuchukua na mashabiki wenzao, tukutane Makao Makuu ya Yanga siku ya Jumamosi tayari kuanza safari saa 3 asubuhi"

"Tunakwenda kuweka rekodi ya msafara mkubwa wa mashabiki kuelekea mkoani Tanga kama tulivyofanya misimu miwili iliyopita wakati tunaelekea Rwanda," alitamba Kamwe

Yanga itamenyana na JKT Tanzania siku ya Jumapili katika mchezo ambao Wananchi watakuwa wakiisaka fainali ya tano ya kombe la CRDB

Yanga ndio mabingwa watetezi wa michuano hiyo na wamepania kutetea taji lao kwa msimu wa nne mfululizo

Usikose kuitazama mechi hii ya JKT TANZANIA VS YANGA, BERKANE VS SIMBA SC LIVE  bure kupitia simu yako  download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

 Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD

Au hapa chini pia


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

  1. Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Bonyeza Download anyway

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post