Katika hali ya kushangaza, Kenny Mwaniki ambaye alikuwa amelazwa kitanda cha hospitali ya Thika Level 5 ICU aligonga vichwa vya habari baada ya kugoma kutumia dawa, hiyo ni kufuatia kupata ahueni kwa njia ambayo ni ya ajabu sana.
Kijana huyo alikuwa amelazwa katika hospitali ya Thika Level 5 kutokana na ugonjwa mbaya na wa kutatanisha ambao uliwashangaza hata wahudumu wa afya wenywe.
Hali yake ilizidi kuwa mbaya hadi kufika chumba cha wagonjwa mahututi (ICU), lakini aligonga vichwa vya habari baada ya kuondoka ghafla hospitalini hapo akionyesha kutoridhishwa na matibabu aliyokuwa akipatiwa.
Walioshuhudia waliripoti kuwa Kenny alichanganyikiwa na kukatishwa tamaa na aina ya matibabu aliyokuwa...SOMA ZAIDI
Post a Comment