Simba inaelekea kwenye michezo ya fainali ya kombe la Shirikisho dhidi ya RS Berkane ambapo mechi ya mkondo wa kwanza itapigwa Jumamosi May 17 nchini Morocco na marudiano kupigwa wiki moja baadae May 25 uwanja wa Benjamin Mkapa
Tangu wiki iliyopita zimeibuliwa tetesi kuwa Simba haikumsajili kiungo mshambuliaji Elie Mpanzu kwa mkataba wa moja kwa moja bali ni mkopo wa miezi sita kutoka klabu ya AS Vita
Tetesi hizo zimemuibua Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi klabu ya Simba Salim Abdallah 'Try Again' ambaye alisimamia mchakato wa usajili wa Mpanzu
Try Again amesema Simba ilimnunua Mpanzu kutoka klabu ya AS Vita na sio mkopo akisaini mkataba wa miaka miwili
"Elie Mpanzu ni mchezaji halali wa Simba alisaini mkataba wa miaka miwili tena alisaini ofisini kwangu sasa yanayoendelea kwasasa ni propaganda za kutaka kututoa kwenye reli. Wanasimba tuna mechi muhimu za kujadili kuliko mkataba wa Mpanzu kwasasa"
"Wanasimba wenzangu tupo kwenye kilele cha kufikia mafanikio ya kubeba kombe la shirikisho tuache kucheza ngoma ambayo hatuipigi sisi tujielekeze kwenye hizi fainali mbili ambazo zipo mbele yetu," alisema Try Again
Mechi inayofata ni A BERKANE vs SIMBA SC na JKT vs YANGA usikose kuzitazama mechi hizi LIVE bure kupitia simu yako download App yetu muda huu inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment