Yanga imeendelea kuukaribia ubingwa wa ligi kuu kwa msimu wa nne mfululizo leo wakiichapa Namungo Fc mabao 3-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa KMC Complex
Yanga iliuanza mchezo huo taratibu lakini iliwachukua Wananchi dakika 26 kupata bao la uongozi kupitia kwa Stephane Aziz Ki aliyemalizia pasi murua kutoka kwa Maxi Nzengeli
Dakika nne baadae Yanga ikaongeza bao la pili kupitia kwa Prince Dube aliyemalizia krosi ya chini kutoka kwa Kibwana Shomari
Mabao hayo yaliifanya Yanga iende mapumziko ikiwa na uongozi wa mabao 2-0
Kipindi cha pili Yanga ilirejea ikiwa na kasi zaidi pengine kama isingekuwa mlinda lango Jonathan Nahimana, Namungo wangeondoka na kapu la mabao leo
Bao la tatu liliwekwa kimiani na Maxi Nzengeli aliyekuwa nyota wa mchezo huo akimalizia krosi ya Israel Mwenda aliyeingia kipindi cha pili kuchukua nafasi ya Kibwana
Ni alama tatu muhimu kwa Yanga ambazo zinawafanya wafikishe alama 73 juu ya msimamo sasa wakisalia na mechi mbili tu za kuhitimisha msimu ambazo zitapigwa mwezi ujao
Mechi inayofata ni AZAM FC vs DODOMA JIJI usikose kuitazama mechi hii LIVE bure kupitia simu yako download App yetu muda huu inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment