Kikosi : Yanga vs Namungo Fc, NBC PL

 

Muda mchache ujao Yanga itashuka uwanja wa KMC Complex kuikabili Namungo Fc katika mchezo wa ligi kuu ya NBC

Mkufunzi wa Yanga Miloud Hamdi ameanza na kikosi hiki;

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post