Miaka 10 ya ndoa si mchezo. Ni muda mrefu wa kupitia mengi pamoja furaha, huzuni, mafanikio, na changamoto. Lakini pia ni muda ambao, kama hutachukua hatua za makusudi, unaweza kupoteza kabisa ule upendo na shauku ya awali. Hilo ndilo lililotokea kwangu.
Nilipooana na mume wangu tulikuwa kama marafiki wakubwa hatukuweza kuachana hata kwa saa moja. Tulicheka pamoja, tulifanya kila kitu pamoja. Lakini kadri miaka ilivyoenda, maisha yakabadilika.
Tulipata watoto wawili, kazi zikatubana, na majukumu yakawa mengi. Hatukuwa tena wale watu waliokuwa wakitazamana kwa mapenzi ya dhati. Tuligeuka kuwa washirika wa nyumba wageni waliokuwa wakihudumia familia moja.
Mume wangu alianza kuwa mkimya sana. Alikuwa anarudi kazini akiwa amechoka, hapendi...SOMA ZAIDI
Post a Comment