Mimi naitwa Juma. Nimezaliwa na kukulia Mbeya, na maisha yangu nimeyajenga kupitia biashara. Nilifungua duka la vifaa vya umeme miaka michache iliyopita.
Ilikuwa si kazi rahisi. Nilianza na mtaji mdogo sana, nikaweka akiba kila senti niliyopata, na hatimaye nikapata duka dogo mjini.
Biashara ilianza kuenda vizuri. Nilikuwa najitahidi, nikiamka mapema kila siku, na kufunga jioni. Nilijitahidi kuwa mwaminifu kwa wateja wangu, nikiwaamini watu waliokuwa karibu nami, hasa wale wanaonizunguka eneo la biashara.
Mwaka jana, maisha yangu yalibadilika ghafla. Siku moja niliitwa usiku na mlinzi aliyekuwa karibu na duka langu. Aliniambia kwa hofu kwamba duka langu limevunjwa.
Nilivaa haraka na kukimbia hadi eneo la tukio. Nilichokiona kiliniuma...SOMA ZAIDI
Post a Comment