Wiki kadhaa zilizopita wakati rafiki yangu wa utotoni, Lucy alinijia akiwa katika hali ya huzuni kubwa na kunieleza kuhusu changamoto alizokuwa akikabiliana nazo na kuniomba msaada kutokana na matatizo yake.
Bila kusita, nilimwalika akae nami kwa siku chache na kumpa faraja na mahitaji aliohitaji wakati huo mgumu. Mume wangu na mimi tulimkaribisha Lucy nyumbani kwetu kwa mikono miwili, tukijua kwamba alihitaji mahali salama ili apone.
Jioni hiyo ya kwanza, nilihakikisha kuwa nimetumia wakati pamoja naye, hata nikalala chumbani mwake ili kusikiliza...SOMA ZAIDI
Post a Comment