Nilivyopata Mapacha Baada ya Mateso, Ushuhuda wa Maisha Yangu

Naitwa Amina, ninaishi Mwanza. Hii ni hadithi yangu ya kweli, hadithi ya maumivu, mateso, na hatimaye furaha kubwa niliyopata baada ya miaka ya machozi.

Kwa miaka mingi niliishi ndani ya ndoa isiyo na furaha kwa sababu sikubahatika kupata mtoto. Nilikuwa na ndoto ya kuwa mama, lakini kila mwaka ulioongezeka bila ujauzito, ndivyo maisha yangu yalivyozidi kuwa ya huzuni.

Mume wangu alianza na subira, lakini ndugu zake hawakuwa na huruma. Waliniona kama chanzo cha mkosi. Kila walipopata nafasi, walinitukana na kuniambia kuwa mimi si mwanamke kamili.

Walinitenga kwenye...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post