Nilikuwa mkulima wa kawaida tu kijijini Mkuranga, Pwani. Shamba langu halikuwa kubwa sana ekari mbili tu ambazo nilizirithi kutoka kwa baba yangu. Kwa miaka mingi nilijitahidi kulima mazao mbalimbali; mihogo, mahindi, hata bamia, lakini faida ilikuwa ndogo mno.
Mara nyingi nilikuwa nikivuna, lakini kupata soko lililolipa vizuri ilikuwa kazi. Wakati mwingine mazao yaliharibika shambani bila mnunuzi. Siku moja niliamua kujaribu tikiti maji baada ya kusikia kuwa yanalipa vizuri sokoni hasa wakati wa kiangazi.
Nilijituma, nilitafuta....SOMA ZAIDI
Post a Comment