Jina langu ni Easter kutokea Musoma, miaka kama mitano iliyopita nilifunga ndoa na mume wangu Sam, na tayari tumejaliwa kupata watoto nne ambao ni watatu wa kiume na mmoja wa kike ambaye ni wa pili kuzaliwa.
Kipindi tulipooana maisha yalikuwa yametaliwa na upendo mwingi, sikudhani kama kuna kitu au jambo ambalo linaweza kuja kutogombanisha na mume wangu kwa jinsi ambavyo tulipendana.
Mimi ninafanya kazi...SOMA ZAIDI
Post a Comment