Nilimuua Nyoka Nyumbani Lakini Nilijua Hakuwa wa Kawaida: Hivi Ndivyo Nilivyogundua Nani Aliyemtuma na Jinsi Nilivyojiokoa

 ...Ilianza kama siku ya kawaida tu. Nilikuwa nimeamka mapema kusafisha uwanja wa nyuma ya nyumba yangu hapa Musoma, Mkoa wa Mara. Nilipokuwa nikifagia eneo la karibu na jiko la mkaa, ghafla nilimuona nyoka mkubwa mweusi akiwa amejikunja kwenye kona ya dari la jiko.

Kwa hofu, nilikimbilia ndani kuchukua jembe na kurudi haraka. Bila kusita, nilimshambulia nyoka huyo hadi akafa. Lakini mara baada ya kuuua nyoka yule, mwili wangu ulianza kutetemeka bila sababu.

Sauti yangu ikawa inasikika kwa shida, nikaanza kuona kama kila mtu...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post