Usikubali Mtu Umpendaye Akukimbie, Hivi Ndivyo Nilivyomfanya Kupagawa Ilhali Alijua Nina Mpenzi Mwingine na Akanitishia Kuondoka

 ...

Nilijua kabisa kwamba nilikuwa na kosa. Nilitafuta mpenzi mwingine huku bado nikiwa na mwanaume aliyenipenda kwa dhati. Ilikuwa ni ule wakati ambapo mapenzi yetu yalikuwa yamepoa kidogo, na kwa udhaifu wa moyo na ushawishi wa marafiki, nikajikuta nikitumbukia kwenye penzi jipya kisiri.

Mpenzi wangu wa kweli alianza kuhisi mabadiliko. Aliona tofauti, akaanza kuniuliza maswali, lakini kila mara nilikana. Nilijua hatimaye ukweli ungefichuka...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post