Walinifukuza Kazini Kwa Kusema Sina Malengo, Leo Mimi Ndiye Ninawaajiri Watoto Wao

 ...Sikuwahi kusahau siku ile waliyoniita ofisi walinifukuza, na meneja wa kampuni niliyokuwa nafanya kazi kama msaidizi wa ghala. Alikuwa na uso wa baridi, na maneno yake yalikuwa makali kana kwamba alikuwa amenitayarishia hukumu ya maisha.

“Hatuoni kama una malengo ya kweli ya maisha. Unaonekana kama mtu asiyejitambua. Hii kazi si yako,” alinambia mbele ya wenzangu. Hakuna aliyenitetea. Niliondoka nikiwa nimevunjika moyo, nikijiona sifai.

Kwa miaka miwili kabla ya tukio hilo, nilikuwa nafanya kazi kwa bidii, hata zaidi ya wengine. Sikuwa na elimu kubwa....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post