Nilijua Siri ya Maisha Yangu Baada ya Kujifunza Nyota Yangu Kupitia Tarehe ya Kuzaliwa; Hivi Ndivyo Unavyoweza Kujitambua Kabisa

Sikuwahi kuelewa kwa nini maisha yangu yalikuwa na milima na mabonde. Nilikuwa nafanya juhudi nyingi kazini lakini hakuna kilichokuwa kinanyooka. Mahusiano yangu yalivunjika bila sababu za msingi, na hata marafiki wangu walionekana kufanikiwa wakati mimi nilikuwa nikijikokota.

Nilianza kujiuliza, “Kuna nini kisichoeleweka kwenye maisha yangu?” Nilihisi kama kuna kitu kilikuwa kimenifunika kisirisiri. Siku moja nilihudhuria kikao cha wanawake mahali fulani Mbezi Beach, na baada ya mada ya kawaida kumalizika, mgeni mmoja alisimama na kuzungumza kuhusu nyota za kuzaliwa.

Alieleza jinsi tarehe yako ya kuzaliwa inaweza kufichua tabia zako, mafanikio yako, changamoto zako, na hata majira sahihi....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post