Naitwa Mage, hapo awali nilipendana na mwanaume anayeitwa Ezron, lakini hakunipenda pia maana alikuwa akichumbiana na mwanamke mwingine anayeitwa Vero ambaye alikuwa mrembo, mwenye mafanikio na kujiamini kuliko mimi.
Nilijaribu kila kitu ili kumshawishi Ezron kuwa na mimi, nilimnunulia zawadi, nikampikia chakula na kumpa mapenzzi, nilijaribu hata kufanya urafiki na Vero, nikitumaini kwamba angeona jinsi nilivyomjali na kumwacha aende zake.
Lakini hakuna kilichofanya kazi maana Ezron hakuniona na Veronica alinichukulia kama uchafu maana alikuwa akinidhihaki, kunitukana na kunidhalilisha mbele ya Ezron ambaye hakutaka hata kunitetea.
Ezron alijua nilimpenda na alifurahia kunifanya...SOMA ZAIDI
Post a Comment