Ajikuta wakinunua nyumba yenye majini kwa Sh70 milioni, walivyojinasua hapo

Wanandoa Hillary na mkewe Salome walilazimika kukabiliana na changamoto kubwa pindi tu waliponunua nyumba nzuri iliyopambwa vizuri na yenye vyumba vinne huko Arusha.

Modern Villa Exterior In Summer

Walilipa Sh70 milioni ili kununua nyumba hiyo ambayo ilionekana kuwa dili, na punde tu walihamia na mtoto wao mmoja ambaye alikuwa ametoka tu kujiunga na darasa la tano. Walikuwa na furaha kutua karibu na Nairobi na kuagana na kulipa kodi.

Mapema mwaka 2021 walikuwa wakitazamia maisha yenye amani na mafanikio katika makao yao mapya. Hata hivyo, upesi walitambua kwamba kuna jambo baya sana katika nyumba hiyo.

Tofauti na mifumo mingine mingi ya Kiafrika....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post