Mke wangu anagawa sana uroda!

Jina langu ni Naumu kutokea Mbeya nchini Tanzania, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 33 na mke wangu ana miaka 28 nimeishi na mke wangu huu mwaka wa nane sasa.

Tatizo langu kubwa ni kwamba tulikuwa tukisumbuana sana takribani miaka yote hiyo tunagombana tu, kuna muda tunaombana msamaha na tunasameheana na kuendelea na maisha yetu. Ila kuna jambo ambalo alilifanya na moyo ukagoma kabisa kusamehe, alitembea kimapenzi na mwanaume mwingine kwa miaka kama mitatu iliyopita ila nilikuja kugundua juzi.

Niligundua baada ya yeye kuwa na wanaume wengine ambao ni wapenzi wake na huwa anachati nao, ndipo dada yangu akaniambia ni tabia yake. Dada akanifungukia kuwa amekaa na hiyo siri kwa muda mrefu ila wifi alishawahi kutembea na watu wengi tu hadi majina akanitajia ila baada ya kumuuliza mke wangu alikiri na kuniambia mbona mimi nina mtoto....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post