Naitwa Shamira kutoka Mwanza, kuna siku nilienda kwa mume wangu anapo fanyia kazi maana tunaisha mikoa tofauti, sasa nilipo kuwa kwenye gari kuna kaka mmoja alikua kaa siti ya pembeni kaniuliza dada unasalio kwenye simu yako.
Nikasema ndio sababu tulikua tumeshatoka mjini akaniomba simu akaongea na baada ya dakika kadhaa kanirudishia. Sasa tukafika ila mimi nilitakiwa kupanda bodaboda, hadi nilipo kuwa naenda kwa bodaboda ni Sh5,000.
Sasa yule kaka nilivyo shuka tu kwenye gari kaniuliza unaelekea wapi? nikamwambia akampa yule bodaboda Sh5,000....SOMA ZAIDI
Post a Comment