Amenilazimisha kutoa mimba zake tano kisa yeye ana mke!

Naitwa Aisha kutokea Tanga, baada ya kuachana na mwanaume niliyezaa naye, alikuwa ananiambia kwamba kama anataka amhudumie mtoto basi ni lazima kulala naye.

Kweli alikuwa analipa kodi, anatoa kila kitu na alikuwa hataki nifanye kazi, alikuwa anakuja kwangu anavyojisikia, hakutaka niwe na mwanaume wengine na hata akisikia kuwa kuna mtu ananifuatilia atamtafuta huyo mtuCCCCC na kumuambia aachane na mke wake.

Wakati huo yeye ana mke wake tena ndoa ya kanisani angalau ingekuwa ya kiislamu ungesema unaweza hata kumroga akuoe mke wa pili lakini hakuna kitu kama hicho.

Anakuja anavyojisikia na ukibeba mimba atakulazimisha mpaka utoe kama ukijifanya mjanja usema usitoe kwani umri unaenda basi hahudumii chochote, na hapo ndipo nilipochoka na kwenda kutafuta msada kwa Kiwanga Doctors.

Nakumbuka kuna kipindi nilibeba.....SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post