Jina langu ni Doreen, naishi Arusha, Tanzania ambapo nafanya kazi katika kampuni moja ya kusimamia watalii ambapo nilianza kazi tangu mwaka 2019 nilipohitimu Chuo tu, nashukuru kile ninachopata kinanitosha kuendesha maisha ya
.jpg)
Nilikuwa nina mchumba ana ambaye ana umri wa miaka 35, alikuwa bado anaishi na wazazi wake, kitendo cha kuishi kwa wazazi wake kilikuwa kinanishangaza sana maana kwa umri wake ilikuwa sio kawaida. Kuna siku nilimuuliza kama ni sawa kwa mwanaume kama yeye kukaa nyumbani kwao hadi umri huo?, tena anafanya kazi!, alisema yeye anapenda kukaa na wazazi tu, hakunieleza kiundani.
Akawa anataka kunioa lakini mimi nikakae kwao hadi amalize kujenga, nilimshauri aondoke kwa wazazi wake hata akapange, akawa hataki na kila ambapo nilikuwa nikimtazama hata akili ya kujiongeza....SOMA ZAIDI
Post a Comment