Ligi Kuu ya NBC inaendelea leo ambapo mabingwa watetezi Yanga watashuka dimba la KMC Complex kuikabili Namungo Fc
Ni mechi ya mzunguuko wa 28, zikisalia raundi ya mbili kuhitimisha msimu huu
Kocha Mkuu wa Yanga Miloud Hamdi ameweka wazi kuwa wanahitaji kushinda mchezo huu ili kujiweka katika nafasi ya kutetea ubingwa kwa msimu wa nne mfululizo
Haitakuwa mechi rahisi kwani Namungo Fc wana kawaida ya kuwa wagumu kila wanapokutana na Wananchi
Mara ya mwisho timu hizo zilipokutana katika uwanja wa Majaliwa, Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-0, Kennedy Musonda na Pacome Zouzoua wakifunga mabao ya Yanga
Mtanange huo unatarajiwa kupigwa saa 10:15 jioni
Usikose kuitazama mechi hii ya YANGA vs NAMUNGO LIVE bure kupitia simu yako download App yetu muda huu inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment