Huyu hapa Pilato wa mechi ya BERKANE vs SIMBA

 

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limemteua mwamuzi wa kati, Pierre Ghislain Atcho kutoka Gabon kusimamia mechi ya kwanza ya fainali ya Kombe la Shirikisho kati ya wenyeji, RS Berkane ya Morocco dhidi ya Simba kutoka nchini Tanzania.

Simba itaanza kampeni za kusaka taji hilo kubwa Afrika kwa kucheza fainali ya kwanza ugenini Mei 17 ikiwa Morocco, kisha baada ya hapo itarudi jijini Dar es Salaam kwa mechi ya marudiano itakayopigwa Mei 25, kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa huku kombe likiwa uwanjani.

Atcho anakumbukwa zaidi na Simba, kwani aliwahi kuchezesha mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi, ambayo timu hiyo ya Msimbazi ilishinda mabao 2-0 dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco, Desemba 19, 2023.

Atcho atasaidiwa na mwamuzi msaidizi namba moja, Boris Marlaise Ditsoga wa Gabon, msaidizi namba mbili ni Eric Ayimavo Ayamr Ulrich wa Benin, huku refa wa akiba mezani atakuwa Patrice Tanguy Mebiame wa Gabon.

Kwa upande wa Teknolojia ya Video Assistant Referee (VAR), katika mechi hiyo itaongozwa na Abongile Tom wa Afrika Kusini akishirikiana na Maria Packuita Cynquela Rivet wa Mauritania, huku msaidizi wa pili ni Diana Chikotesha kutokea Zambia.

Usikose kuitazama mechi hii ya  YANGA vs NAMUNGO LIVE  bure kupitia simu yako  download App yetu muda huu inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope

 Bonyeza hapa kudownload

Au hapa chini

Kudownload  Bonyeza hapa ili kudownload App

Au

AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD

Au hapa chini pia


App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)

  1. Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Bonyeza Download anyway

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post