Niliwahi kuishi maisha ya chini kupita maelezo. Nilikuwa msichana wa saluni, nikifanya kazi kwenye kibanda kidogo cha kutengeneza nywele huku nikipokea wateja wawili au watatu kwa siku, wakati mwingine hakuna kabisa.
Kipato kilikuwa kidogo kiasi kwamba chakula cha mchana kilitegemea kama nilipata mteja asubuhi. Wengi waliniona kama wa kawaida tu mtu ambaye maisha hayamwezeshi kufika popote.
Hata marafiki zangu wa karibu walikuwa wakinionea huruma, wengine wakinipuuza kabisa. Lakini yote yalibadilika usiku mmoja wa manane. Usiku ambao siwezi kuusahau maisha yangu yote. Nikiwa nimelala kwenye godoro langu....SOMA ZAIDI
Post a Comment