Laana ya kizazi ilivyomtesa kijana huyu kabla ya kupata usaidizi

 Habari yako?, umewahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu huwa wanateseka katika familia zao licha ya kufanya kazi kwa bidii sana muda wote?, ni kama mikosi inakuwa imewaandamana maishani mwao!, nini sababu?.

Kutana na Alamini kutoka Kakame nchini Kenya, yeye na familia yake wanaishi maisha ya furaha, Alamini na mkewe wamebarikiwa watoto watano, wasichana wakiwa ni watatu na wavulana wawili.

Mtoto wa kiume aitwaye Chege ni mfanyabiashara anayejulikana sana katika eneo zima la Kakame, wasichana wao wawili ni walizaliwa mapacha, mmoja wao wa mwisho anaitwa Chiney.

Familia hii inamiliki duka kubwa la jumla katikati mwa mji wa Kakamega ambapo huuza bidhaa mbalimbali kwa wafanyabiashara wa eneo hilo kwa miaka nenda rudi sasa.

Hata hivyo, wengi hawajui ni hadithi...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post