Ajabu kidole cha binadamu kukutwa ndani ya keki

 Kutana na Eric na Natasha ambao ni waokaji mikate maarufu wanaoishi katika Jiji la Kisumu nchini Kenya katika mtaa uitwao Car Wash, kazi yao imewafanya kujulikana na wengi katika eneo lao.

Walianza kuoka mikate yao miaka 10 iliyopita na kusema kweli biashara yao imekua kwa haraka sana, kwa sasa wana duka la keki huko Kisumu CBD na wameajiri watu 13 wa kuwasaidia kazi.

Maisha yalikuwa matamu kati yao hadi walipofanya sherehe ya kufunga ndoa hapo Februari 2023, keki iliyokusudiwa kuongeza furaha katika harusi yao iliyoandaliwa huko Mamboleo ikaleta hofu baada ya kubuniwa ikiwa na kidole cha mwanadamu.

Hiyo ilikuwa ni ishara mbaya sana katika biashara yao, duka la kuoka mikate ambalo wakati fulani lilikuwa na wateja wengi, liligeuka kuwa mahali...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post