Kutoka kupigwa vumbi barabarani hadi biashara za kimataifa

Mwanamke mmoja aitwaye Vanessa Malema alifungua kibanda chake kando ya barabara ya Dar-Bagamoyo miaka mitatu iliyopita na kuanza biashara ambayo sasa imemfanya kuwa miongoni mwa watu waliofanikiwa sana.

Hata hivyo, hapo awali biashara yake bado ilikuwa katika kiwango duni sana, hakuweza kujivunia nayo kama ilivyo kwa sasa maana haikuleta chochote katika suala la faida kama wafanyabiashara wengi wanavyotegemea.

Lakini Vanessa aliamua kubaki imara na akachagua kuamini kwamba kuna siku milango yake itafunguliwa, hatobaki hivyo katika hali duni kwa muda mrefu...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post