Mzee aliyeporwa Sh13.7 milioni arejeshewe fedha zake kimiujiza

 Dada mmoja aitwaye Khadija kazi yake ilikuwa rahisi tu, kazi hiyo ilimbidi tu kujifanya kama anauza mkufu wa dhahabu kwa bei ya kutupa kisha kuwavuta wateja hadi eneo fulani la uchochoni, halafu hapo wanaume kadhaa watajitokeza na kumpora mwanaume huyo.

Alikuwa na sehemu tatu tofauti za kufanya uhalifu huo ambao uliongozwa na wanaume wenye bunduki moja, visu kadhaa na pingu zilizonunuliwa kutoka kwa afisa polisi ambaye anaunga mkono uhalifu.

Siku moja Khadija alisimulia hadithi yake ya jinsi yalivyoweza...SOMA ZAIDI

1 Comments

  1. Inteligensia yapolisi inayotabiri uwepo wa kuhatarisha mali za watu yskifanyika maandamo ifuatilie mganga huyu atumike kurudisha mali za umma zinazoibiwa.
    Kama hawezi asweke nfani

    ReplyDelete

Post a Comment

Post a Comment

Previous Post Next Post