Siku zote familia yangu ilijulikana kama watu wa heshima na walio na msimamo mkali kuhusu maisha ya watoto wao. Nilizaliwa nikiwa mtoto wa pili katika familia ya walimu wawili wakongwe wa sekondari mkoani Mwanza.
Walikuwa na ndoto kubwa juu yangu kwamba nitamaliza chuo kikuu, nitafute kazi serikalini, halafu nimuoe mtu mwenye hadhi kama daktari au mfanyabiashara mkubwa.
Lakini moyo haujui hoja. Niliangukia penzini na mwanaume ambaye hakuwa hata na daraja la nne, bali alikuwa dereva wa bodaboda mjini.... SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment