Niliona Picha ya Harusi Yangu Ikichomwa Ndani ya Kaburi Ndipo Nikagundua Siri Kubwa


 Niliwahi kuamini kuwa ndoa yetu ilikuwa imejengwa juu ya misingi ya upendo wa kweli. Tulikutana tukiwa chuoni, tukapendana kwa dhati, na baada ya miaka miwili ya uhusiano, tuliamua kuoana. Harusi yetu ilikuwa ya kupendeza sana, tulipendeza mbele ya watu, na kila mtu alitupongeza. Lakini ndani ya miezi sita tu baada ya harusi, maisha yangu yakabadilika ghafla.

Mke wangu alianza kuwa mtu tofauti kabisa na yule niliyempenda. Alianza kuwa mkali, mgumu kuelewana naye, na mara kwa mara alinituhumu kwa mambo ambayo hayakuwa ya kweli.

Mara nyingi alirudi nyumbani akiwa mlevi au aliingia chumbani akiwa mnyamavu kana kwamba hakutaka hata kuzungumza nami. Ilifikia hatua hata kula pamoja ilikuwa shida. Nilihisi kuna kitu kibaya, lakini sikuweza kukieleza..... SOMA ZAIDI HAPA 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post