Kwenye hafla ya mahafali ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, nikiwa nimevaa mavazi ya heshima na moyo wa furaha, nilimsikia mtu aliyewahi kuwa kila kitu kwangu akitamka kwa sauti ya kejeli, tena hadharani. “Simjui huyo msichana.” Hayo yalikuwa maneno ya Kelvin, kijana niliyempenda kwa dhati kwa miaka miwili mfululizo.
Alikuwa amefika pale akiwa na kundi la marafiki wake wa tabaka la juu, na niliposogea kumsalimia mbele ya wote, aligeuka na kunikana. Kicheko cha wenzake kilikuwa kama mwiba moyoni mwangu. Nilihisi kama ardhi ingetafunguka kunimeza...... SOMA ZAIDI HAPA
Post a Comment