Aliyetoweka kwa miaka 17 hatimaye arejea nyumbani


Kaka yangu aliondoka nyumbani miaka 17 iliyopita akisema anaenda kutafuta maisha na atarajea kipindi mambo yatapomuendea vizuri lakini miaka ilizidi kukatika bila kurejea nyumbani na kibaya hakuwa kuwasiliana na sisi. 

Wazazi wangu tayari walishakuwa wazee, walikuwa wakinituma sehemu mbalimbali niende kumuulizia na kutazama kama yupo huko lakini sikuwahi kufanikiwa. 

Tuliamua kuchapisha picha zake kwenye magazeti mbalimbali tukieleza kuwa anatafutwa na ndugu zake na tukaweka namba zetu za simu lakini tuliishia kupigiwa simu na watu tusiowajua wakituambia wanajua alipo ila tuwalipe kwanza kiasi fulani cha fedha waweza kutuonyesha alipo au watupe mawasiliano yake.... SOMA ZAIDI HAPA 


0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post