Migogoro ya mashamba sasa basi, mbinu ni hii ambayo wengi wameikubali


Jina langu ni Nelson, mtoto wa mwisho wa mzee Nyaku kutokea Nakuru, katika umri wangu wa miaka 25 nimepitia mgogoro mkubwa ambayo siweza kuja kuusahau hata pale nitakapokuwa mzee, nao mgogoro wa ardhi baina yangu na kaka zangu.

Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano, tuliishi upendo kama ndugu maana ndivyo wazazi wetu walikuwa wanatusisitizia kila wakati.

Kipindi baba yetu, Mzee Nyaku anafariki, aliachia Wosia kuwa mimi ndio nitarithi eneo la shamba ambalo ipo nyumba yetu, pia nyumba itakuwa yangu kwa sababu mimi ni mtoto wa mwisho. SOMA ZAIDI HAPA 

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post