Kifo cha baba yetu kilitushitua sana, japokuwa alikuwa mgonjwa kwa muda mrefu. Lakini kilichofuata baada ya msiba ndicho kilitikisa msingi wa familia yetu nzima. Sikuwahi kuwaza hata kwa sekunde moja kwamba tungefunua siri kubwa kiasi kile siri ambayo baba alificha kwa zaidi ya miongo miwili bila yeyote wetu kuijua.
Baba yetu, mzee Joseph, alikuwa mcha Mungu, mtulivu, na mtu wa maamuzi.....SOMA ZAIDI
Post a Comment