Mwanafunzi Aliyeitwa Mchawi kwa Kufeli Mitihani Sasa Ni Daktari Anayeheshimika Afrika Mashariki

 Nilikuwa kijana mdogo mwenye ndoto kubwa kutibu watu, kuvaa koti jeupe na kusikika nikitamkwa kama “Daktari.” Lakini miaka yangu ya shule iligeuka kuwa kaburi la matumaini. Nilifeli mitihani mara kwa mara hadi kufikia kiwango cha kuitwa mchawi.

Ndugu, walimu na hata baadhi ya wazazi wa wenzangu walinihusisha na ushirikina, eti kwa sababu ya matokeo mabaya yasiyoelezeka. Kila mara matokeo yalipotangazwa, jina langu lilikuwa miongoni mwa waliopata alama za chini zaidi.

Ilifika mahali hata walimu walinipuuza. Niliwekwa darasa la mwisho, nikakosa nafasi kwenye vikundi vya masomo, na nilidharauliwa waziwazi. Baadhi ya watu walianza kunipachika majina...SOMA ZAIDI

0 Comments

Post a Comment

Post a Comment (0)

Previous Post Next Post