Kama ungekuwa umeniambia miaka miwili iliyopita kuwa ningekuwa na mume mwaminifu na biashara yangu mwenyewe ya mavazi, ningekuona kama unatania. Wakati huo nilikuwa nimevunjika moyo, nimefilisika kihisia na kifedha, na kila usiku nililala nikilia chini ya blanketi nikijiuliza, “Nilikosea wapi?”
Yote yalianza nilipokutana na mwanamume mmoja kwenye mtandao wa Facebook. Alionekana mtulivu, mwenye maongezi ya kuvutia na alijua jinsi ya kunifanya nihisi kama mimi ni wa kipekee.
Tulianza kuzungumza kila siku, hadi ikafikia hatua nikasikia siwezi kupumua bila kusikia sauti yake. Alidai kuwa mfanyabiashara anayefanya...SOMA ZAIDI
Post a Comment