Uongozi wa Simba umewataka Mashabiki na Wanachama wa klabu hiyo kuwa watulivu kufautia taarifa za mchezo wa fainali ya pili Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berbane kupelekwa Zanzibar
Simba itakuwa mwenyeji wa RS Berkane katika mchezo huo utakaopigwa Mei 25 nchini Tanzania, baada ya ule wa kwanza utakaochezwa Mei 17 mjini Berkane, Morocco
Hata hivyo hadi sasa Serikali na Mamlaka za soka nchini Tanzania haijatoa taarifa zozote za mchezo huo kupelekwa Zanzibar
Taarifa ya Simba kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii imeeleza:
"Taarifa rasmi kuhusu Uwanja wa mchezo wa marudiano wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika itatolewa baada ya mchezo wa awali utakaochezwa Jumamosi Mei 17, 2025"
Usikose kuitazama mechi hii ya JKT TANZANIA VS YANGA, BERKANE VS SIMBA SC LIVE bure kupitia simu yako download App yetu mapema inayorusha mechi zote live bure pia ukiwa na App yetu utaweza kutazama chanel zote za Azam Tv na DSTV live bure mfano Azam sport 1, Azam Two, Sinema zetu na nyingine nyingi pia App bado hatujaiweka playstore hivo italeta neno This file might be harmful usiogope
Au hapa chini
Kudownload Bonyeza hapa ili kudownload App
Au
AU BONYEZA HAPA PIA KUDOWNLOAD
Au hapa chini pia
App bado hatujaiweka playstore hivo utaidownload kama APK kisha uta Install kawaida tu na uendelee kufurahia chanel za Azam na Dstv bureee ( ikileta neno its harmful usiogope ni kwasababu haijawekwa playstore)
- Wezesha “Unknown Sources” kwenye setting ya Simu yako. Nenda kwenye “Settings” > “Security” au “Privacy“.
Post a Comment